Skip to content
Youtube Facebook-f Telegram Twitter
Uislamu kwa ufahamu wa Salaf
Uislamu kwa ufahamu wa Salaf
Youtube Facebook-f Telegram Twitter Android
  • Mwanzo
  • Makala
  • Mp3
    • Darsa
    • Mashairi ya kielimu
    • Bi/Rw
    • Mutuni
  • Fatwa
  • Vitabu
    • E-books
    • Vijitabu
    • Pdf Books
  • Kuhusu sisi
  • Tovuti
  • Wasiliana nasi
  • Redio
  • Mwanzo
  • Makala
  • Mp3
    • Darsa
    • Mashairi ya kielimu
    • Bi/Rw
    • Mutuni
  • Fatwa
  • Vitabu
    • E-books
    • Vijitabu
    • Pdf Books
  • Kuhusu sisi
  • Tovuti
  • Wasiliana nasi
  • Redio
Makala's, mp3
1 +

Buhuuth wa Fataawaa fiyl-Mash ´alaal-Khuffayn

 45. Maoni yaliyochaguliwa na Ibn ´Uthaymiyn kuhusu kupangusa juu ya kitu kinachofunika mguu

 44. Tafiti kuhusu kusihi kwa ile twahara pindi unapomalizika muda wa kupangusa au akavua kile kitu kinachofunika mguu

 43. Tafiti kuhusu pindi inapobadilika ile hali ya upangusaji kutoka katika hali ya ukazi kwenda katika hali ya safari au kinyume chake

 42. Tafiti kuhusu muda wa kupangusa

 41. Tafiti kuhusu kupangusa juu ya soksi za ngozi pea mbili

 40. Tafiti kuhusu kupangusa juu ya vitu vinavyofunika mguu vyenye mtundu na vyembemba

 39. Je, kuna tofauti yoyote kati ya wanaume na wanawake inapokuja katika kupangusa juu ya soksi za ngozi?

 38. Ni ipi hukumu ya ambaye amepangusa juu ya soksi za ngozi baada ya kumalizika kwa muda uliowekwa wa kupangusa na akaswali kwazo?

 37. Wudhuu´ unachenguka ikiwa umemalizika muda wa kupangusa?

 36. Mtu akivua soksi zake za ngozi baada ya kupangusa juu yake twahara yake inachenguka?

 35. Je, inajuzu kupangusa juu ya soksi mtu akizivua ilihali yuko na wudhuu´ kisha akazivaa tena kabla ya kuchenguka wudhuu´ wake?

 34. Mtu akiingiza mkono wake chini ya soksi unachenguka ule ufutaji wake?

 33. Ni ipi hukumu ya kupangusa chini ya soksi za ngozi?

 32. Soksi za ngozi zinapanguswa namna gani?

 31. Je, ni sahihi kupangusa juu ya viatu, kisha akavivua halafu akapangusa juu ya soksi?

 30. Afanye nini mtu akitilia shaka ni lini alianza kupangusa na kumebaki muda kiasi gani?

 29. Mtu apanguse vipi akipangusa hali ya kuwa ni msafiri kisha akarudi nyumbani?

 28. Vipi mtu anatakiwa kupangusa akianza kupangusa akiwa mkazi kisha baadaye akasafiri?

 27. Ni ipi hukumu ya kuosha mguu wa kulia na kisha kuuvisha soksi?

 26. Inafaa kwa mtu aliyejitwahirisha kwa Tayammum kupangusa juu ya soksi wakati anapotawadha?

 25. Je, kuna tofauti kati ya kupangusa juu ya soksi za ngozi na kupangusa juu ya kitata?

 24. Je, ni lazima kupangusa kitata chote?

 23. Je, ni lazima kukusanya kati ya Tayammum na kupangusa juu ya kitata?

 22. Je, imeshurutishwa kupangusa juu ya kitata kisiwe kimefunika zaidi ya vile mtu anavohitajia?

 21. Ni ipi hukumu ya kupangusa juu ya kitata?

 20. Inafaa kwa mwanamke kufuta kichwa chake kilichopakwa hina?

 19. Je, inafaa kwa mwanamke kupangusa juu ya mtandio wake?

 18. Je, inafaa kupangusa juu ya tarbushi?

 17. Je, inafaa kupangusa juu ya Shimaagh, chepeo na kofia?

 16. Ni ipi hukumu ya kupangusa juu ya kilemba na kuna muda uliopangwa?

 15. Ni ipi hukumu ya kupangusa juu ya kilemba?

 14. Je, bendeji ina hukumu moja kama soksi za ngozi?

 13. Ni ipi hukumu ya kupangusa juu ya makubadhi na soksi za ngozi?

 12. Je, imeshurutishwa ili mtu aweze kupangusa juu ya soksi za ngozi zithibiti zenyewe?

 11. Ni ipi hukumu ya kupangusa soksi zenye matundu na nyembamba?

 10. Je, inafaa kupangusa juu ya kila kinachofunika mguu?

 09. Ni lazima soksi ziwe zimesalimika na matundu?

 08. Ni ipi hukumu ya kupangusa juu ya soksi zilizo na picha ya mnyama?

 07. Ni sharti kunuia kupangusa na muda wa kupangusa?

 06. Kuna sharti zipi za kupangusa juu ya soksi za ngozi?

 05. Inafaa kupangusa juu ya soksi za ngozi kwa ajili ya kuswali tu vipindi vitano vya swalah?

 04. Soksi za ngozi zinaweza kupanguswa kwa muda kiasi gani?

 03. Ni ipi hukumu ya mtu anayevua soksi kila akitawadha?

 02. Kupangusa kumefutwa?

 01. Ni yepi makusudio ya soksi za ngozi na soksi za kawaida? Ni ipi hukumu ya kupangusa juu yake?

Radio muhimu 📻

  • Redio ya Qur-aan
  • Redio ya Sunnah
  • Redio Rugema
  • Redio ya Qur-aan
  • Redio ya Sunnah
  • Redio Rugema

Makala

  • Fiqh
  • Manhaj
  • Siyrah
  • Tawhiyd
  • Wanawake
  • ´Aqiydah
  • Fiqh
  • Manhaj
  • Siyrah
  • Tawhiyd
  • Wanawake
  • ´Aqiydah

Zilizosomwa na kusikizwa zaidi

  • Kusagana ni haramu 120 views

  • 78. Mtume alikuwa na watoto wangapi? 91 views

  • 46. Tofauti kati ya Mtume na Nabii 80 views

  • Namna ya kuswali swalah ya Istikhaarah na wakati wa kuomba du´aa 79 views

  • Majukumu ya mume na mke kwenye ndoa 78 views

  • Namna ya kuoga josho la janaba II 78 views

  • 27. Adhkaar za asubuhi na jioni 63 views

  • 11. Shirki ni nini na imegawanyika aina ngapi? 58 views

  • Nasaha – Markaz Pongwe 55 views

  • Kuandika talaka kwenye karatasi na kumtumia mke 54 views

Viungo

  • Darsa(12150)
  • Kalima(4928)
  • Khutbah(3939)
  • Mihadhara(204)
  • E-books(92)
  • Dawrah/Nad-wah(1187)
  • Ruduud(1027)
  • Vitabu (18)
  • Mihadhara (101)
  • Darsa (7567)
  • Dawrah/Nad-wah (631)
  • Khutbah (2333)
  • Ruduud (449)

Hati miliki 2026 Firqatunnajia.com

Vitu vyote katika tovuti hii vimehifadhiwa kwa hati miliki