Swali 18: Je, inafaa kupangusa juu ya tarbushi[1]?

Jibu: Udhahiri ni kwamba ikiwa hakuna ugumu wa kuivua basi haitofaa kufuta juu yake kwa sababu ni yenye kufanana na chepeo kwa pande fulani. Kimsingi ni ulazima wa kupangusa juu ya kichwa mpaka ibainike kwamba vazi hilo ni miongoni mwa vitu ambavo inafaa kupangusa juu yake.

[1] Tazama https://ar.wikipedia.org/wiki/طربوش

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Buhuuth wa Fataawaa fiyl-Mas´h ´alaal-Khuffayn, katika Majmuu´-ul-Fataawaa (11/170-171)
  • Imechapishwa: 06/05/2021