Download Firqatunnajia android App

Chemsha bongo

Chemsha Bongo mambo mbalimbali ya dini 15

Take Quiz

Chemsha Bongo ya watoto 04

Take Quiz

Chemsha Bongo ya watoto 03

Take Quiz

Chemsha Bongo ya watoto 02

Take Quiz

Chemsha Bongo ya watoto

Take Quiz

Ratiba ya Darsa za live

Redio ya mawaidha
Redio ya Qur-aan
Redio ya Sunnah
📢 Kauli mbiu

Imaam Ibn Abiy Haatim ar-Raaziy (afk. 327) amesema:

“´Aqiydah yetu na chaguo letu ni kumfuata Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), Maswahabah wake na wale waliokuja baada yao waliowafuata, kushikamana barabara na madhehebu ya Ahl-ul-Athar, akiwemo Abu ´Abdillaah Ahmad bin Hanbal, Ishaaq bin Raahuuyah, Abu ´Ubayd al-Qaasim bin Sallaam na ash-Shaafi´iy, na kushikamana na Qur-aan na Sunnah. Tunaamini kwamba Allaah yuko juu ya ´Arshi Yake na ametengana na viumbe Wake.” (Ithbaatu Swifat-il-´Uluww, uk. 184)

Tovuti imekusudiwa kufanya kazi kama mabalozi na wawakilishi wa wanazuoni. Nakala za tovuti hufanyiwa tarjama kila mara kutoka kwenye vitabu vya kiarabu, sauti za kiarabu na mahojiano ya mdomo na wanazuoni. Haya baadaye kuchapishwa kwa njia  endelevu kwenye tovuti.