Masjid Mullah Mombasa

Uliza swali kuhusiana na darsa hapo chini

Karibu katika darsa 
Ndugu113362 nakusikiliza nikiwa kitengela
Ndugu113369 Nashindwa kuhudhuria Jumaa kwa sababu ya Corona. ni lazima nifanye sunna za jumaa
Ndugu117587 Je kuna tofauti ya thawab baina ya qiyam Layl na Tahajjud
Ndugu123976 Sheikh Humeid please recite more quran. your voice is beautiful
Idadi ya watu: 0
Bonya hapa

radio

Masjid Mullah Mombasa


السلام عليكم ورحمة الله وبركاته

Karibuni katika Radio yetu ya live/mubashara kutoka Masjid Mullah Mombasa Kenya. Hii ni Redio nambari 03.

Tanbihi! Hapa Redio itakuwa ikicheza katika zile nyakati za ratiba ya darsa ambazo zimetangazwa mbele ya tovuti yetu. Pindipo Redio itakuwa haichezi basi ni kwa sababu ima darsa ya wakati huo imeahirishwa kwa sababu ya dharurah au kuna tatizo la kimitambo. Lakini kumbuka ili uweze kusikiliza Redio online ni lazima uwe na internet. Jengine pia hakikisha unafuatilia darsa wakati muafaka wa hiyo nchi inayorusha darsa na usiwe umeingia wakati ambao sio. Kwa usumbufu wowote wasiliana na sisi kupitia hapo juu “wasiliana nasi”.

Ndugu zenu;

Firqatunnajia.com

2 comments

  1. Assalam alaykum Warahmatullah Wabarakaatuh
    Allaah yubaarik kwa jitahida zenu za kufikisha da’awa kwa mawanda mapana.
    أسل الله الكريم رب العرش العظيم ان يهدينا إلى صراط الرشاد