Swali: Nimesoma Hadiyth katika baadhi ya vitabu vya du´aa ya kwamba mwenye kusoma Suurah ad-Dukhaan usiku, watamuombea msamaha Malaika 7.000. Upi usahihi wa Hadiyth hii?

Jibu: Sijui usahihi wake. Haina msingi kutokana na ninvyojua.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alharamain.gov.sa/index.cfm?do=cms.scholarallsubjects&schid=8177
  • Imechapishwa: 01/02/2024