Uislamu na imani kila kimoja kinapotajwa peke yake

Swali: Ni ipi maana kwamba Uislamu na imani vinapokusanyika vinatofautiana na vinatofautiana vinakusanyika?

Jibu: Maana yake ni moja. Imani ndio Uislamu na Uislamu ndio imani. Hapa ni pale ambapo vinapotajwa kwa kuachiwa. Vinapotajwa kila kimoja peke yake Uislamu maana yake ni yale matendo yanayoonekana na imani ni yale matendo yaliyojifichaa:

إِنَّ الدِّينَ عِندَ اللَّـهِ الْإِسْلَامُ

”Hakika dini mbele ya Allaah ni Uislamu.”[1]

Hapa kunaingia pia imani.

na:

“Imani ni tanzu sabini na kitu.”

Hapa kunaingia pia Uislamu.

[1] 03:19

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23499/ما-الفرق-بين-الاسلام-والايمان-عند-الاطلاق
  • Imechapishwa: 01/02/2024