Du´aa maalum ya kumuombea mtoto mchanga

Swali: Je, kumethibiti katika Sunnah du´aa ya kumuombea mtoto mpya?

Jibu: Du´aa maalum sijui. Lakini aombewe awe mwema na wa kheri, hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%2027-3-1435.mp3
  • Imechapishwa: 06/10/2020