Redio Rugema


radio

Redio ya mawaidha


السلام عليكم ورحمة الله وبركاته

Karibuni katika Redio ya mawaidha ambayo inacheza mawaidha mbalimbali kwa masaa 24 kutoka kwa walinganizi wetu wa Afrika mashariki.

  53 Responses

    1. Naam ni kweli al-Akh. Kwa wale wanaoifuatilia Firqatunnajia.com kwa karibu basi watapata kujua kwamba Da´wah yetu sisi na watu hao ambao hata hawastahiki kutajwa kwa majina ni mbali kwa mbali kabisa. Lakini inawezekana huyo aliyemuulizia kipozea pengine ni mgeni ndani ya tovuti hii.

  1. ASALLAAM ALEYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH HIVI HII APPLICATION TATIZO NINALOKUTANA NALO KWANGU NAONA KAMA IMEPOTEZA UBORA HASWA KWA MFANO KIPENGELE CHA KU SEARCH SAIZI HAKUPO TENA

  Leave a Reply

  Your email address will not be published. Required fields are marked *