Redio ya Sunnah
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته
Karibuni katika Redio ya Sunnah ambayo inacheza Hadiyth mbalimbali za Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kwa masaa 24 kwa kiarabu, jambo ambalo litawawezesha wasikiliza pengine kuhifadhi baadhi ya Hadiyth za الامهات الست ambavyo ni Swahiyh-ul-Bukhaariy, Swahiyh-ul-Muslim, Sunan-un-Nasaa´iy, Sunan Abiy Daawuud, Sunan-ut-Tirmidhiy na Sunan Ibn Maajah.
Ndugu zenu; Firqatunnajia.com
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)
9 Responses
أحب الحديث كثيرا
Mungezitengeneza kwa tarjama inaanza kiarabu kisha kiswahili i ingetusaidia zaidi sisi turaaba
Inshaa Allaah siku za mbele tutaangalia kama kuna uwezekano huo. Allaah akujaze kheri kwa rai nzuri.
Ndugu zako; Firqatunnajia.com
assalaamu aleykum..vp hli znu..Twafaidika..#
Alhamdulillaah..#
Kheri kubwa tunapata faida nyingi kupitia hii App. Baaraka llaahu fiykum Ikhwaa
Maa shaa Allah.
Mimi na jamaa zangu tunafaidika ya kutosha.
Allah awajaze kheri masheikh wetu na awazidishhie ilmu ya manufaa.
ALLAH BARIKLANA. TAFSIRI KWA KISWAHILI MUHIMU KUFIKIA UMMA NA KUELEWEKA KWA VIZURI NA KUPATA FAIDA KUBWA.SHUKRAN.
Baaraka Allah
Baaraka llahu fiykum
Allah akulipeni kila lenye kheri kwa juhudi yenu kubwa ya kuelimisha umma