Redio ya Qur-aan

Redio ya Qur-aan

السلام عليكم ورحمة الله وبركاته

Karibuni katika Redio ya Qur-aan ambayo inacheza Qur-aan masaa 24.

  64 Responses

  1. Asalam alekum warahmatuAllah wabarakatuh…. masha Allah nafaidika sana na firqatunnajia application kila kitu napata darsa kisomo cha quran khutbah ahsanteni sana nawaombea Alah awazidishiye amin…

    1. Wa ´Alaykum as-Salaam wa Rahmatullaahi wa Barakaatuh

     Redio za Live (Rugema ya mawaidha na ya Qur-aan) ukibonya kwenye “Play” ndipo ina play. Ama zile nyenginezo za LIVE ambapo darsa inarushwa moja kwa moja kutoka msikitini haziwezi ku play mpaka zile nyakati ambapo darsa yarushwa hewani. Bi maana ikiwa sio wakati wa darsa haiwezi kucheza. Kama zimekataa kwenye App jaribu kuingia kwa tovuti na ucheze. Linki hii hapa ya redio zote https://firqatunnajia.com/redio/

     Ndugu zenu Firqatunnajia.com

  2. Asalam aleikum wa Rahmatullahi wa baraqutuhu.
   Allah awajaze kheir kati ya kheiri zake na neema zote kwa walio andaa mipango haya ya upato wa kusikilizwa kwa Usomaji wa Kitabu chetu kitukufu maishani mwa Wanadamu ki ujumla hususan Sie Waislamu kwa ujumla Quran.
   Amin Ya Rabbi Alamin.
   Mie Ndugu yenu kutoka Manchester Cheetham Hill. United Kingdom
   Nafaidika na kuskiliza Quran.
   Alhamdulillah.
   Stay Blessed always.
   And Smile Always
   Ramadhan Mubaraq wa Saum Maqbul.
   Shukran
   Regards to All
   Yours Suleiman Abaad.

  3. Kazi nzuri Allah awalipe kheri. Maoni yangu ni kuhusu maelezo yanayotembea hapo juu (ujumbe) uanze toka kulia kwenda kushoto ili msomaji apate wepesi kusoma maana kwa hali ilivyo sasa maneno yayanaanza mwisho sasa kama sentensi ni ni ndefu mimi binafsi napata shida kuyaelewa.

   Baarakallahu fiikum.

  4. Assalamu 3leikum warahmatu Allahi wabarakatuh, afwan Ikhwa, naomba muskilize recording za Qur’an. Surat Yusuf na suratul hashri zimeingiliana(Hashri,aya 23)haikuisha, ikarudi tena Surat Yusuf. Baraka Allahu fikum wa Jazakumu Allah kheira

  5. Asalaam aleikum warahmatullahi wabarakatuh tunapata fawaida nyingi sana kupitia App hii ya Firqatunnajia hasa sisi tunaoishi mbali na vituo vya kielimu tunastafidi kwenye vitabu kupitia audio zenu Allah akulipeni kheri بارك الله فيكم

  6. Assalaam Alaykum Warahmatullahi Wabarakkattuh.

   Ninaitwa Qassim kutoka Inchini BURUNDI, kwa kweli Waislam tunaweza kila jambo endapo nia itafanyika kwa Ajili ya ALLAHU sw. ALLAHU sw akulipeni kila la kheri hapa Duniani hadi In Shaa Allahu kesho akhera.

  7. السلام عليكم ورحمة الله وبركاته الحمدلله والصلاة والسلام على رسول الله وبعد.نشكر الله بهذه نعمة.ونسأل الله زيادة.جزاكم الله خيرا.وصلى الله على محمد.والحمد لله رب العالمين.والسلام عليكم ورحمة الله وبركاته

  Leave a Reply

  Your email address will not be published. Required fields are marked *