Redio ya Sunnah

radio

Redio ya Sunnah


السلام عليكم ورحمة الله وبركاته

Karibuni katika Redio ya Sunnah ambayo inacheza Hadiyth mbalimbali za Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kwa masaa 24 kwa kiarabu, jambo ambalo litawawezesha wasikiliza pengine kuhifadhi baadhi ya Hadiyth za الامهات الست ambavyo ni Swahiyh-ul-Bukhaariy, Swahiyh-ul-Muslim, Sunan-un-Nasaa´iy, Sunan Abiy Daawuud, Sunan-ut-Tirmidhiy na Sunan Ibn Maajah.

Ndugu zenu; Firqatunnajia.com

    10 responses

      1. السلام علیكم ورحمۃﷲوبركته

        Hakuna haja yakuweka kwa kiswahili, kwa sababu kuna marejeo hapo twaweka kwa kila makala unaweza kupata kwa asili kwa kiarabu.

        Ndugu zako firqatunnajia.com

    1. I am extremely inspired together with your writing skills
      as neatly as with the layout for your weblog.
      Is this a paid subject matter or did you customize it
      yourself? Anyway keep up the excellent high quality writing, it’s uncommon to see a nice weblog like this one these days.
      HeyGen!

    Leave a Reply to ابو ذر Cancel reply

    Your email address will not be published. Required fields are marked *