Kipi kinachohesabika kuwa ni ndevu?

Swali: Nywele zinazokuwa shingoni ni ndevu?

Jibu: Ndevu ni nywele zinazoota kwenye mashavu na kwenye kidevu. Hizi ndio ndevu. Nywele zinazoota kwenye mashavu na kidevu. Mbali na hizo zote hazihesabiki kuwa ni ndevu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%2004-07-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 06/10/2020