Swali: Ni yepi malipo yanayopatikana kwa kumzika maiti?

Jibu: Akihudhuria swalah [na kuzika] anapata ujira mara mbili, Qiraatw mbili. Akihudhuria kimoja katika hivyo anapata Qiraatw moja, ambayo ni ujira mkubwa zaidi kuliko mlima.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23500/ما-الاجر-المترتب-على-دفن-الميت
  • Imechapishwa: 01/02/2024