Markaz Pongwe

Uliza swali kuhusiana na darsa hapo chini

Karibu katika darsa 
Ndugu141944 ابرہیم علی مکوا
Ndugu141998 Kimyaaa
Ndugu143053 Assalaam alaykum
Ndugu143053 Assalaam alaykum Allah akulipeni kheri.inajuzu kwa mwanamke kuvaa suluali ndani ya baibui?.
Ndugu143987 Asalam alykum warahmatullah wabarakaatuh.
Ndugu143987 Suali langu ni kwamba: je ikiwa mtu hakuamini sifa za Allah zote kiukamilifu huyo huitwa muumini mwenye mapungufu au ?
Ndugu146691 Asalaam alaykum
Ndugu146691 Asalaam alaykum naomba uliza Kuna hadithi yoyote Ile ambayo inasema mtume alipomaliza kuswali swala ya jamaa alileta nyirad I kwa sauti
Ndugu146718 assalam alaikum
Sultan Mavura Assalam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh. Ni nini Hukumu ya kuswali jamaa ya pili Msikitini baada ya Jamaa ya kwanza kuswaliwa?
Ndugu148271 Assalamu alaykum warahmatullah wabarakatuh; kwa Nina naitwa yasir said from daresalaam ukonga madafu ... Swali langu ni kama ifuatavyo; kuna makatazo ya kusoma Quran wakati was kusujudu!! Je? Zile dua zilizomo ktk Quran za waja wema na mitume mfn; ربنا افرغ علينا صبرا وثبت اقدامنا ونصرنا عل لقوم الكافرين --- رب شرحلى صدرى ويسرلى ام
Ndugu148271 Zafaa kuzitumia katika sujudu ijapo kuwa ni aya miongoni mwa aya za quran... Na mtume amesema anakuwa krb mja na mola wake akiwa amesujudu na akithirishe dua... Ktk zile dua zilizomo kwny quran yafaa kuzitumia japo kuwa ni aya za quran zile?
Ndugu148880 Naam darsa iko leo?
Ndugu149069 Assalaam alaaykum sual langu je ukifuata jeneza la mtu bidaa utapata ujira pia? BARAAKA LLAAH FIYKA
Ndugu149069 Assalaam alaykum sual langu je mtu akiwa n wabidaa ukifuata jeneza lake utapata ujira?
Ndugu149066 Jawabu la Abuu waail kwa kutumia hadithi hii linafahamisha kipi kuhusiana na murji'a? Allaah awabaarik
Ndugu149295 Sauti haisikiki kabisa
Ibrahimu salimu @Ndugu149295:
Ramadan Ramadan
Ramadan Muda gani was darsa?
Abou AMINUN Asalam alayikum warhmatullah wabarakatuh
Abou AMINUN Ni mtumegani aliyezaa mutume nahuyomwana akawamtume
Abuu Swabra Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh
Abuu Swabra Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh
Abuu Swabra Naomba kufahamu namna ya kupata audio ktk firqatunnaajia mana mpangilio umebadilika hivi karibuni tofauti na ilivyo mwanzo
Abdurrahman @Abuu Swabra: @Abuu Swabra:
Ndugu151078 @Ibrahimu salimu:
Ndugu151455 @Ndugu151078: @Ndugu151078:
Ndugu151922 Abuu fauzan:naomba kuuliza mbona audio za firqatunnajia hazifunguki kipindi ichi?
Idadi ya watu: 0
Bonya hapa

 Markaz Ibn Taymiyyaah Pongwe


السلام عليكم ورحمة الله وبركاته

Karibuni katika Redio yetu ya live/mubashara kutoka Markaz Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah Pongwe. Hii ni Redio nambari 04.

Tanbihi! Hapa Redio itakuwa ikicheza katika zile nyakati za ratiba ya darsa ambazo zimetangazwa mbele ya tovuti yetu. Pindipo Redio itakuwa haichezi basi ni kwa sababu ima darsa ya wakati huo imeahirishwa kwa sababu ya dharurah au kuna tatizo la kimitambo. Lakini kumbuka ili uweze kusikiliza Redio online ni lazima uwe na internet. Jengine pia hakikisha unafuatilia darsa wakati muafaka wa hiyo nchi inayorusha darsa na usiwe umeingia wakati ambao sio. Kwa usumbufu wowote wasiliana na sisi kupitia hapo juu “wasiliana nasi”.

Ndugu zenu;

Firqatunnajia.com