Markaz Pongwe

Uliza swali kuhusiana na darsa hapo chini

Karibu katika darsa 
Salaf171452 Ninini hukumu ya kutema mate wakati umefunga?
Salaf171538 Baarak Allah fiykum
Salaf172845 Assalamu alykum warhmatullah wabarakatuh je nikisoma Surat ikhilasw Mara 3 katika kipindi Cha ramadhan nitakua miongoni mwa wale walio kalisha kusomo
Salaf174443 Ngapi nguzo za swaumu?
Salaf174761 Leo mwezi ngapi
Salaf175011 Ukisha kojoa alafu ukavaa nguo lkn matone ya mkojo yakadondokea nguo yako ya ndan vp hukum yak?
Salaf175011 Jib la salaf175011
Salaf175362 IDD Mubarak
Salaf175370 KWANINI mwanamke wa kislaamu hahudhurii mazishi
Salaf175675 Kipindi kinaanza sangap
Salaf175819 @Salaf175377:
Abuw Haniyfah Leo kuna darsa?
Salaf176728 Abuu mathna darsa ipoo??
Salaf176943 0719846973 nongezeni kwa group yenyu
Salaf176943 Nataka group ya whatsapp
Salaf177223 Assalam alekum niongezeni kwa group 0727276230
Salaf177569 IPI HUKUMU YA KUFUNGA UZAZI?
Salaf177569 IPI HUKMU YA KUFUNGA UZAZI?
Salaf177761 hukumu ya kutema maji chooni
Abdallah Assalaam alaykum warah matullah
Salaf178245 @Abdallah: manhaju ssarikiina
Salaf178245 Manhaju ssarikina
Salaf178245 Darsa
Salaf178267 @Salaf178245:
Salaf178577 @Salaf171452: hukumu ya aliyepata rakaa ya ya Ijumaa ni ipi
Salaf179962 Swala za usiku zinaswaliwa vipi
Salaf180132 Assallam allykum warahmatullah naomba kujua naweza pata wapi kitabu cha sheikh mafuta kassim mafuta kiitwacho uyahudi nyuma ya pazia
Salaf180790 Assalamualaikum nawezaje kupata mwalimu wa kunidurusisha kwa njia ya simu.huku nilipo n mtihani
Idadi ya watu: 0
Kliki hapa

 Markaz Ibn Taymiyyaah Pongwe