39. Je, kuna tofauti yoyote kati ya wanaume na wanawake inapokuja katika kupangusa juu ya soksi za ngozi?

Swali 39: Je, kuna tofauti yoyote kati ya wanaume na wanawake inapokuja katika kupangusa juu ya soksi za ngozi?

Jibu: Hakuna tofauti yoyote kati ya wanaume na wanawake katika suala hili. Tunapaswa kujua kanuni inayosema yaliyothibiti kwa wanaume yanawahusu wanawake vilevile na pia yaliyothibiti kwa wanawake yanawahusu wanaume isipokuwa mpaka pawepo dalili inayoonyesha kinyume na hivo.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Buhuuth wa Fataawaa fiyl-Mas´h ´alaal-Khuffayn, katika Majmuu´-ul-Fataawaa (11/181)
  • Imechapishwa: 06/05/2021