Swali 31: Je, ni sahihi kupangusa juu ya viatu, kisha akavivua halafu akapangusa juu ya soksi?
Jibu: Maoni yanayotambulika kwa wanazuoni ni kwamba mtu akianza kupangusa moja kati ya soksi – zilizo juu au chini – basi hukumu inafungamana na kile kilichoanza kupanguswa. Hukumu haihami na kwenda katika lile vazi la pili.
Wako wanazuoni wengine wenye kuona kuwa inajuzu ikahama katika lile vazi la pili muda wa kuwa kilichopanguswa ni lile vazi la pili na bado kumebaki muda wa kupangusa. Haya ndio maoni yeney nguvu. Kama mtu atatawadha na akapangusa juu ya soksi, kisha juu yake akavaa soksi zengine, au akavaa viatu, na akapangusa zile soksi za juu ni sawa maadamu bado kumebaki muda uliowekwa wa kupangusa. Hili ni kama ambavyo akivaa soksi kisha juu yake akavaa soksi au viatu vingine na halafu akapangusa juu yake, ni sawa kufanya hivo kutokana na kauli yenye nguvu maadamu bado muda umebaki. Lakini hata hivyo ataanza kuhesabu muda kuanzia pale alipoanza kupangusa zile za mwanzo na si kuanzia alipoanza kupangusa zile za pili.
- Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Buhuuth wa Fataawaa fiyl-Mas´h ´alaal-Khuffayn, katika Majmuu´-ul-Fataawaa (11/176-177)
- Imechapishwa: 06/05/2021
Swali 31: Je, ni sahihi kupangusa juu ya viatu, kisha akavivua halafu akapangusa juu ya soksi?
Jibu: Maoni yanayotambulika kwa wanazuoni ni kwamba mtu akianza kupangusa moja kati ya soksi – zilizo juu au chini – basi hukumu inafungamana na kile kilichoanza kupanguswa. Hukumu haihami na kwenda katika lile vazi la pili.
Wako wanazuoni wengine wenye kuona kuwa inajuzu ikahama katika lile vazi la pili muda wa kuwa kilichopanguswa ni lile vazi la pili na bado kumebaki muda wa kupangusa. Haya ndio maoni yeney nguvu. Kama mtu atatawadha na akapangusa juu ya soksi, kisha juu yake akavaa soksi zengine, au akavaa viatu, na akapangusa zile soksi za juu ni sawa maadamu bado kumebaki muda uliowekwa wa kupangusa. Hili ni kama ambavyo akivaa soksi kisha juu yake akavaa soksi au viatu vingine na halafu akapangusa juu yake, ni sawa kufanya hivo kutokana na kauli yenye nguvu maadamu bado muda umebaki. Lakini hata hivyo ataanza kuhesabu muda kuanzia pale alipoanza kupangusa zile za mwanzo na si kuanzia alipoanza kupangusa zile za pili.
Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Buhuuth wa Fataawaa fiyl-Mas´h ´alaal-Khuffayn, katika Majmuu´-ul-Fataawaa (11/176-177)
Imechapishwa: 06/05/2021
https://firqatunnajia.com/31-je-ni-sahihi-kupangusa-juu-ya-viatu-kisha-akavivua-halafu-akapangusa-juu-ya-soksi/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)