Swali 29: Mtu apanguse vipi akipangusa hali ya kuwa ni msafiri kisha akarudi nyumbani?
Jibu: Kwa mujibu wa maoni yenye nguvu ni kwamba atapangusa akiwa ni mkazi. Ikiwa kumebaki kitu katika muda wake basi atapangusa. Venginevyo atazivua wakati wa kutawadha na kuosha miguu yake.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Buhuuth wa Fataawaa fiyl-Mas´h ´alaal-Khuffayn, katika Majmuu´-ul-Fataawaa (11/176)
- Imechapishwa: 06/05/2021
Swali 29: Mtu apanguse vipi akipangusa hali ya kuwa ni msafiri kisha akarudi nyumbani?
Jibu: Kwa mujibu wa maoni yenye nguvu ni kwamba atapangusa akiwa ni mkazi. Ikiwa kumebaki kitu katika muda wake basi atapangusa. Venginevyo atazivua wakati wa kutawadha na kuosha miguu yake.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Buhuuth wa Fataawaa fiyl-Mas´h ´alaal-Khuffayn, katika Majmuu´-ul-Fataawaa (11/176)
Imechapishwa: 06/05/2021
https://firqatunnajia.com/29-mtu-apanguse-vipi-akipangusa-hali-ya-kuwa-ni-msafiri-kisha-akarudi-nyumbani/