Swali: Je, ardhi ambayo imeandaliwa kwa ajili ya kujenga makazi ya siku zijazo inatolewa zakaah?
Jibu: Ardhi hiyo haitolewi zakaah ikiwa ameiandaa kwa ajili ya kujenga nyumba au kukodisha. Hata hivyo zakaah inatolewa kwa yale mapato yake baada ya kutimia mwaka.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (18/235)
- Imechapishwa: 16/05/2026
Swali: Je, ardhi ambayo imeandaliwa kwa ajili ya kujenga makazi ya siku zijazo inatolewa zakaah?
Jibu: Ardhi hiyo haitolewi zakaah ikiwa ameiandaa kwa ajili ya kujenga nyumba au kukodisha. Hata hivyo zakaah inatolewa kwa yale mapato yake baada ya kutimia mwaka.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (18/235)
Imechapishwa: 16/05/2026
https://firqatunnajia.com/zakaah-juu-ya-ardhi-iliyoandaliwa-kwa-ajili-ya-kujenga-nyumba-ya-kuishi/