Wudhuu´ kwa maji ya moto yaliyochemshwa

Swali 7757: Vipi kuhusu kutumia maji yaliyopigwa na jua na hita za maji zinazotumia nishati ya jua?

Jibu: Hatujui dalili sahihi inayokataza kutumia maji yaliyopigwa na jua.

  • Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/73)
  • Imechapishwa: 14/10/2026