Swali 2922: Uingereza tunatumia tishu na karatasi katika kujisafisha baada ya kujisaidia vyooni. Je, ni lazima kutumia maji badala ya kutumia tishu?
Jibu: Inajuzu kutumia tishu, karatasi na mfano wake katika kujisafisha chooni. Vinatosheleza ikiwa vitasafisha na kutakasa sehemu ya mbele au ya nyuma. Hata hivyo ni bora kutumia kitu cha kujisafisha kwa mawe kwa idadi ya witri na haipaswi kuwa chini ya mipangusio mitatu. Wala si lazima kutumia maji baada ya kufanya hivyo, lakini ndio kinachopendeza.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/107)
- Imechapishwa: 14/10/2026
Swali 2922: Uingereza tunatumia tishu na karatasi katika kujisafisha baada ya kujisaidia vyooni. Je, ni lazima kutumia maji badala ya kutumia tishu?
Jibu: Inajuzu kutumia tishu, karatasi na mfano wake katika kujisafisha chooni. Vinatosheleza ikiwa vitasafisha na kutakasa sehemu ya mbele au ya nyuma. Hata hivyo ni bora kutumia kitu cha kujisafisha kwa mawe kwa idadi ya witri na haipaswi kuwa chini ya mipangusio mitatu. Wala si lazima kutumia maji baada ya kufanya hivyo, lakini ndio kinachopendeza.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/107)
Imechapishwa: 14/10/2026
https://firqatunnajia.com/kutumia-tishu-na-karatasi-chooni-badala-ya-maji/