Swali 6401: Ni ipi hukumu ya mwenye kutawadha kwa kutumia maji mekundu yanayobaki kwenye mapipa au matenki?
Jibu: Hakuna tatizo katika hilo ikiwa kubadilika kwake hakukutokana na najisi.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/72-73)
- Imechapishwa: 14/10/2026
Swali 6401: Ni ipi hukumu ya mwenye kutawadha kwa kutumia maji mekundu yanayobaki kwenye mapipa au matenki?
Jibu: Hakuna tatizo katika hilo ikiwa kubadilika kwake hakukutokana na najisi.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/72-73)
Imechapishwa: 14/10/2026
https://firqatunnajia.com/kutawadha-kwa-maji-mekundu-ya-tenki/