Swali: Je, inajuzu kuingia chooni ukiwa na cheni yenye jina la Allaah au la Mtume au baadhi ya Aayah za Qur-aan?
Jibu: Inachukiza kuingia nayo chooni, isipokuwa ikiwa anaogopa kwamba kitu kilichoandikwa juu yake kitapotea. Katika hali hiyo anaruhusiwa kuingia nacho ili kukihifadhi.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/95-96)
- Imechapishwa: 14/10/2026
Swali: Je, inajuzu kuingia chooni ukiwa na cheni yenye jina la Allaah au la Mtume au baadhi ya Aayah za Qur-aan?
Jibu: Inachukiza kuingia nayo chooni, isipokuwa ikiwa anaogopa kwamba kitu kilichoandikwa juu yake kitapotea. Katika hali hiyo anaruhusiwa kuingia nacho ili kukihifadhi.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/95-96)
Imechapishwa: 14/10/2026
https://firqatunnajia.com/kuingia-chooni-na-cheni-yenye-jina-la-allaah/