Swali: Je, kusema kwamba mikono yote miwili ya Allaah (Jalla wa ´Alaa) ni ya kulia katika ubora si ni kupindisha maana?
Jibu: Hili liko wazi katika dalili, kwa sababu ameithibitisha mikono miwili, kisha akasema:
“… na mikono Yake yote miwili ni ya kuume.”[1]
Kwa maana katika ubora. Kwa hiyo sio kupindisha maana.
[1] Muslim (18) na (1827)
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (26)
- Imechapishwa: 14/10/2026
Swali: Je, kusema kwamba mikono yote miwili ya Allaah (Jalla wa ´Alaa) ni ya kulia katika ubora si ni kupindisha maana?
Jibu: Hili liko wazi katika dalili, kwa sababu ameithibitisha mikono miwili, kisha akasema:
“… na mikono Yake yote miwili ni ya kuume.”[1]
Kwa maana katika ubora. Kwa hiyo sio kupindisha maana.
[1] Muslim (18) na (1827)
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (26)
Imechapishwa: 14/10/2026
https://firqatunnajia.com/huku-sio-kupindisha-maana-ya-mikono-ya-allaah/