Swali: Je, mtu akatazwe akifungua mlango kutoka katika nyumbani yake wa kuingilia misikitini?
Jibu: Hapana vibaya akiwa ni jirani wa msikiti.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23650/حكم-فتح-الامام-بابا-من-بيته-على-المسجد
- Imechapishwa: 11/03/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related
Usichaji simu yako kwa moto wa msikiti!
Haijuzu kuchaji simu kutoka katika umeme wa msikiti. Haijuzu kutumia umeme wa msikiti katika mambo binafsi ya mtu. Haijuzu kwa mfano mtu kuunganisha waya ya umeme kutoka msikitini kwenda nyumbani kwake. Msingi kwa mujibu wa wanazuoni ni kwamba mali ya Waqf inatumiwa kwa mujibu wa sharti ya yule aliyejitolea ikiwa…
In "Msikiti"
Ibn Baaz akijibu maswali kadhaa muhimu kwa anayetoa harufu mbaya kuja kuswali msikitini
Swali: Je, ambaye amekula kitunguu saumu anaruhusiwa kuacha swalah ya mkusanyiko? Jibu: Ni haramu kwake akila kwa sababu ya kuacha mkusanyiko. Hata hivyo hapana vibaya akila kwa sababu anahitaji au kwa lengo la matibabu. Swali: Vipi ikiwa ndio mazowea yake? Jibu: Asile ilihali kunamzuia kuswali na kunawakera watu, kwa sababu…
In "Mkusanyiko (Jamaa´ah)"
Swalah ya mwanamke bora msikiti wa Makkah au nyumbani?
Swali: Je, swalah ya mwanamke katika Msikiti wa Haram ni bora kuliko swalah yake nyumbani? Jibu: Nyumbani kwake ni bora zaidi. Hata hivyo hapana vibaya ikiwa ataswali katika Msikiti wa Haram kwa adabu, bila kujipamba, kutumia manukato au kufanya mambo yaliyokatazwa.
In "Swalah ya mkusanyiko kwa mwanamke"