Swali: Kitendo cha Thumaamah kuoga mwenyewe kabla ya kusilimu kinajulisha kuwa sio wajibu kuoga kwanza?

Jibu: Ndio, hii ni miongoni mwa dalili kwamba sio wajibu. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hakumwamrisha. Yeye ndiye alienda na kufanya. Hakumwamrisha kuoga baada ya kusilimu.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23649/هل-يجب-الاغتسال-لمن-اراد-ان-يسلم
  • Imechapishwa: 11/03/2024