Ameweka mlango nyumbani kwake wa kutokea msikitini

Swali: Je, mtu akatazwe akifungua mlango kutoka katika nyumbani yake wa kuingilia misikitini?

Jibu: Hapana vibaya akiwa ni jirani wa msikiti.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23650/حكم-فتح-الامام-بابا-من-بيته-على-المسجد
  • Imechapishwa: 11/03/2024