Matangazo ya biashara nje ya msikiti na si ndani

Swali: Vipi kutundika matangazo ya biashara msikitini?

Jibu: Yatundikwe nje ya msikiti karibu na mlango mahali yanaonekana.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23646/هل-يجوز-تعليق-الدعاية-التجارية-في-المسجد
  • Imechapishwa: 11/03/2024