Swalah ya mwanamke bora msikiti wa Makkah au nyumbani?

Swali: Je, swalah ya mwanamke katika Msikiti wa Haram ni bora kuliko swalah yake nyumbani?

Jibu: Nyumbani kwake ni bora zaidi. Hata hivyo hapana vibaya ikiwa ataswali katika Msikiti wa Haram kwa adabu, bila kujipamba, kutumia manukato au kufanya mambo yaliyokatazwa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24899/هل-صلاة-المراة-في-الحرم-افضل-من-بيتها
  • Imechapishwa: 28/12/2024