Je, yapo mambo mengine yanayoweza kumshughulisha na swalah ya mkusanyiko mbali na chakula na kwenda haja?

Swali: Je, masuala ya kuwepo chakula tayari au kuzuia haja kubwa na ndogo yanaweza kufananishwa na mambo mengine yanayomshughulisha mtu?

Jibu: Kulinganisha ni jambo gumu, lakini muumini anaelewa zaidi hali yake mwenyewe. Ikiwa kuna kitu kingine kinachomshughulisha zaidi kuliko chakula au haja kubwa na ndogo, basi anaweza kuchukuliwa kuwa na udhuru katika hali hiyo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24906/هل-يعذر-من-شغله-امر-في-ترك-الجماعة
  • Imechapishwa: 28/12/2024