72 – Khaythamah ametukhabarisha: Muhammad bin Ibraahiym bin Kathiyr ametuhadithia: Mu-ammal ametuhadithia: ´Ubaydullaah bin Abiyl-Maliyh, kutoka kwa Abul-Maliyh, kutoka kwa Abu Hurayrah, ambaye amesimulia kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Nimemuota Mola wangu (´Azza wa Jall) katika umbo bora kabisa. Akanambia: ”Ee Muhammad!” Nikasema: ”Nakuitikia na nakuomba mafanikio.” Akasema: ”Unajua ni kipi wanachozozana ulimwengu wa juu?” Akasema: ”Hapana, ee Mola.” Ndipo Akaweka mkono Wake kati ya mabega yangu, mpaka nikahisi ubaridi wake baina ya matiti yangu… ”[1]
73 – ´Abdullaah bin Ja´far al-Baghdaadiy ametukhabarisha huko Misri: Haaruun bin Kaamil ametuhadithia: Abu Swaalih ametuhadithia: Mu´aawiyah ametuhadithia, kutoka kwa Abu Yahyaa (Sulaym), kutoka kwa Abu Yaziyd, kutoka kwa Abu Salaam al-Habashiy, aliyeeleza kuwa amemsikia Thawbaan akisema:
”Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alitoka baada ya swalah ya Subh na kusema: ”Hakika Mola wangu alinijilia usiku katika umbo zuri kabisa na kusema: ”Ee Muhammad, unajua ni kipi wanachozozana ulimwengu wa juu?” Akasema: ”Sijui, ee Mola.” Ndipo Akaweka kiganja Chake cha mkono kati ya mabega yangu, mpaka nikahisi ubaridi wa ncha ya vidole Vyake kati ya matiti yangu na nikadhihirikiwa na vilivyoko baina ya mbingu na ardhi… ”
74 – al-Hasan bin Yuusuf at-Twaraa-ifiy ametukhabarisha huko Misri: Ibraahiym bin Marzuuq ametuhadithia: Abu ´Aamir al-Aqdiy ametuhadithia: Zuhayr bin Muhammad ametuhadithia, kutoka kwa Yaziyd bin Jaabir, kutoka kwa Khaalid bin al-Lajlaaj, kutoka kwa ´Abdur-Rahmaan bin ´Ayyaash, kutoka kwa baadhi ya Maswahabah wa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), ambao wameeleza:
”Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) asubuhi moja akiwa na hali nzuri na mwenye kung´ara usoni. Tulipomuashiria jambo hilo akasema: ”Vipi nisiwe hivi ilihali Mola wangu (´Azza wa Jall) amenijilia katika umbo zuri kabisa… ”[2]
Namna hii ameipokea kutoka kwa Yaziyd na akazidisha katika cheni ya wapokezi Swahabah. al-Awzaa´iy, ´Abdur-Rahmaan bin Jaabir na wengineo wameipokea kupitia kwa Khaalid bin al-Lajlaaj, pasi na kumtaja bwana huyo katika cheni ya wapokezi.
75 – Muhammad bin Ya´quub bin Yuusuf na Khaythamah bin Sulaymaan wametukhabarisha: al-´Abbaas bin al-Waliyd bin Maziyd ametuhadithia: Baba yangu amenikhabarisha: Ibn Jaabir na al-Awzaa´iy wametuhadithia: Khaalid bin al-Lajlaaj ametuhadithia: Nimemsikia ´Abdur-Rahmaan bin ´Ayyaash akisema:
”Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alituswalisha… Ndipo Akaweka kiganja Chake cha mkono kati ya mabega yangu, mpaka nikahisi ubaridi wake baina ya matiti yangu ambapo nikayajua yaliyoko mbinguni na ardhini.” Kisha akasoma:
وَكَذَٰلِكَ نُرِي إِبْرَاهِيمَ مَلَكُوتَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَلِيَكُونَ مِنَ الْمُوقِنِينَ
”Namna hiyo ndio Tunavyomuonyesha Ibraahiym ufalme mkubwa wa mbingu na ardhi na ili awe katika wale wenye yakini.”[3]
Abu Salaam ameipokea kutoka kwa ´Abdur-Rahmaan bin ´Ayyaash, kutoka kwa Maalik bin Yukhaamir, kutoka kwa Mu´aadh bin Jabal. Hadiyth hii imepokelewa na Ibn Hanbal. Imepokelewa na Maswahabah kumi na wameinukuu maimamu wa mashariki na wa magharibi.
[1] Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb” (408).
[2] Ahmad (4/66).
[3] 06:75
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Ishaaq bin Mandah (afk. 395)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: ar-Radd ´alaal-Jahmiyyah, uk. 89-91
- Imechapishwa: 18/10/2026
- Taaliki: ´Allaamah ´Aliy bin Naaswir al-Faqiyhiy

Muhusika: Imaam Muhammad bin Ishaaq bin Mandah (afk. 395)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: ar-Radd ´alaal-Jahmiyyah, uk. 89-91
Imechapishwa: 18/10/2026
Taaliki: ´Allaamah ´Aliy bin Naaswir al-Faqiyhiy
https://firqatunnajia.com/34-mkono-baina-ya-mabega-yake-mtume/