Swali: Vipi nianze kulingania mahala ambapo Ahl-us-Sunnah ni wachache? Je, inakuwa kwa kuwafikishia mawaidha baada ya swalah…
Jibu: Fungua darsa. Kitu bora ni kuanzisha darsa msikitini na kuwashereheshea watu Sunnah na Tawhiyd. Ukisahilikiwa kuwafikishia na mawaidha ziada ya kuwafunza, hili ni jambo zuri.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fth-mjd-17051435.mp3
- Imechapishwa: 18/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)