Mwanamke kuomba talaka kwa mume anayetazama filamu za haramu

Swali: Mwanamke huyu anasema kuwa mume wake anatazama filamu za haramu. Nimemwita katika tawbah na amekariri tendo hili mpaka nimekuwa ninamchukia. Je, inajuzu kwangu kuomba kutengana naye katika hali hii?

Jibu: Ndio. Ikiwa hatubii na anazifuatilia, tendo hili linazingatiwa ni khatari katika heshima yake na heshima ya mke wake. Ukimuomba kutengana naye kwa hakimu, hakimu ndiye ambaye atasimamia hili.

Check Also

Pato la haramu kwa shangazi mgonjwa na muhitajiaji

Swali: Nilipata mali kwa njia ya haramu. Je, inajuzu kumpa nazo shangazi yangu ambaye ni …