Vipi mtu aanze kulingania mahala ambapo Salafiyyuun ni wachache?

Swali: Vipi nianze kulingania mahala ambapo Ahl-us-Sunnah ni wachache? Je, inakuwa kwa kuwafikishia mawaidha baada ya swalah…

Jibu: Fungua darsa. Kitu bora ni kuanzisha darsa msikitini na kuwashereheshea watu Sunnah na Tawhiyd. Ukisahilikiwa kuwafikishia na mawaidha ziada ya kuwafunza, hili ni jambo zuri.

Check Also

Jinsi ya kutaamiliana na mzazi anayetazama mambo yasiyofaa katika TV

Swali: Kijana huyu anasema, naeshi peke yangu na baba yangu ameoa mwanamke ambaye sio mama …