Swali: Ni ipi nasaha yako kwa Ahl-us-Sunnah walioko Oman?
Jibu: Wamche Allaah (Ta´ala). Walinganie katika dini ya Allaah kwa hekima, maneno mazuri na wajadili kwa njia iliokuwa nzuri. Wawafunze watu Sunnah, walinganie katika Sunnah na kuwavutia watu nayo. Kwa kufanya hivo huenda Allaah akamwongoza yule anayemtaka miongoni mwa wale wenye kwenda kinyume.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14817
- Imechapishwa: 28/06/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)