Operesheni kuondosha kasoro mwilini

Swali: Dada huyu anauliza hukumu ya kufanya operesheni ya uzuri kwenye kifua chake ikiwa yuko na maradhi fulani?

Jibu: Ikiwa yuko na kasoro mwilini mwake na inawezekana ikatibiwa na kuondosha kasoro hii ni sawa kufanya hivi. Hii ni miongoni mwa dawa zenye kuruhusiwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14817
  • Imechapishwa: 28/06/2020