Lazima kuhudhurisha nia wakati wa kwenda msikitini?

Swali: Je, ni lazima kuhudhurisha nia za kupiga hatua[1] kwenda msikitini?

Jibu: Inatosha muda wa kuwa amenuia kuswali. Muda wa kuwa ameenda msikitini kwa ajili ya kuswali, hiyo ndio nia.

Swali: Vipi kuhusu mtu ambaye ametoka maeneo fulani kisha baadaye akaenda msikitini kwa ajili ya kuswali swalah ya mkusanyiko?

Jibu: Kunatarajiwa kwake yote hayo kama mwenye kutembea.

[1] https://firqatunnajia.com/fadhilah-za-kutoka-nyumbani-na-wudhuu-na-kwenda-kuswali/

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22512/هل-تلزم-النية-لحصول-فضل-الخطى-للمسجد
  • Imechapishwa: 04/07/2023