Swali: Nikitaka kufunga siku tatu kila mwezi ni lazima iwe masiku meupe?
Jibu: Hapana. Funga siku tatu kila mwezi, sawa ikiwa kwa kufuatanisha, mbalimbali na kadhalika. Muhimu ufunge siku tatu kila mwezi, sawa ikiwa ni katika yale masiku meupe au siku zingine. Hakuna neno sawa ikiwa ni mwanzo wa mwezi, katikati yake au mwisho wake.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/eg–14340421.mp3
- Imechapishwa: 20/09/2020
Swali: Nikitaka kufunga siku tatu kila mwezi ni lazima iwe masiku meupe?
Jibu: Hapana. Funga siku tatu kila mwezi, sawa ikiwa kwa kufuatanisha, mbalimbali na kadhalika. Muhimu ufunge siku tatu kila mwezi, sawa ikiwa ni katika yale masiku meupe au siku zingine. Hakuna neno sawa ikiwa ni mwanzo wa mwezi, katikati yake au mwisho wake.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/eg–14340421.mp3
Imechapishwa: 20/09/2020
https://firqatunnajia.com/kufunga-masiku-meupe-ni-lazima-iwe-tarehe-13-14-na-15/