al-Fawzaan kuhusu jina la Muhyid-Diyn na Taqiyyud-Diyn

Swali: Je, inajuzu kumwita mtu “Muhyid-Diyn”?

Jibu: Hakuna neno. Taqiyud-Diyn, Muhyid-Diyn, al-Baghawiy lakabu yake ni Muhyid-Diyn. Hakuna neno kwa majina kama haya.

Check Also

Ibn ´Uthaymiyn kuhusu kumpa mtoto jina la “Iymaan”

Swali: Ni ipi hukumu ya kumpa msichana wake jina la “Iymaan”? Jibu: Haijuzu. Kwa kuwa ni …