Kuzunguma na mke kwa kutumia video camera

Swali: Je, inajuzu kuzungumza na mke wangu kwa njia ya simu au intaneti kwa sauti na picha kwa kutumia video camera?

Jibu: Kutumia video camera kuna haja gani? Ikiwa ni sauti tu hakuna neno sawa ikiwa utatumia simu au njia zingine za mawasiliano. Ama kuhusu picha ni haramu.

Check Also

al-Fawzaan kuhusu Malaika kutoingia kwenye nyumba yenye picha

Swali: Picha ikiwa katika chumba miongoni mwa vyumba vya nyumbani, je, Malaika hawaingii katika vyumba …