Sharti ya kula vichinjo vya Ahl-ul-Kitaab

Swali: Je, inajuzu kula vichinjo vya Ahl-ul-Kitaab pasi na sharti zozote?

Jibu: Sharti iwe wamechinja kwa njia ya Kishari´ah. Ama ikiwa wanachinja kinyume na njia ya Kishari´ah, kama kwa kutumia umeme, haijuzu sawa ikiwa kwa Waislamu wala Ahl-ul-Kitaab. Ni lazima kuchinja iwe kwa njia ya Kishari´ah.

Check Also

Mfano wa ushirikina wa manaswara

Swali: Wakati tunapowalingania manaswara wanasema kuwa wao hawamshirikishi Allaah kwa kuwa… Jibu: Hawamshirikishi Allaah ilihali wanasema …