Swali: Je, mwanamke anayewaswalisha wenzie anaweza kutangulia mbele kama anavofanya imamu wa kiume?

Jibu: Hapana, asimame katikati yao. Kwa ajili ya kutojifananisha na wanaume anatakiwa kusimama katikati yao. ´Aaishah na Umm Salamah walipokuwa wanawaswalisha wanawake wanasimama katikati yao.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22524/اين-تقف-من-توم-النساء-بالصلاة
  • Imechapishwa: 04/07/2023