Kuna yanayompasa mtu katika mali yake zaidi ya zakaah?

Swali: Je, kuna haki inaomuwajibikia mtu juu ya mali yake kwa isiyokuwa zakaah iliyofaradhishwa?

Jibu: Ndio, ziko haki mbalimbali. Haki sio moja tu. Miongoni mwa haki za wajibu ni kumhudumia mgeni, watoto, mke, ndugu na aliyepatwa na dhiki.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24265/هل-في-المال-حق-غير-الزكاة
  • Imechapishwa: 20/09/2024