Swali: Vipi mtu akihalalisha maasi?

Jibu: Mtu huyo anakuwa kafiri na mwenye kuwekwa ndani ya Moto milele kwa maafikiano ya waislamu. Akionelea kuwa damu ya waislamu ni halali au uzinzi na akatamka wazi ya kwamba ni halali, akahalalisha pombe au kuwaasi wazazi wawili, ni ukafiri kwa maafikiano ya waislamu. Tunamuomba Allaah usalama. Ni mwenye kudumishwa Motoni milele.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24264/حكم-من-استحل-المعاصي
  • Imechapishwa: 20/09/2024