Swali: Je, ni jambo limewekwa katika Shari´ah kumsamehe kafiri ambaye hakutarajiwi kusilimu kwake?

Jibu:

فَمَنْ عَفَا وَأَصْلَحَ فَأَجْرُهُ عَلَى اللَّـهِ

”Lakini anayesamehe na akasuluhisha, basi hakika ujira wake uko kwa Allaah.” (42:40)

Allaah anaweza kumnufaisha na kumwongoza na kumuonyesha kuwa kitendo hicho ni miongoni mwa tabia za Uislamu. Hilo linaweza kumuathiri kwenye moyo wake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22282/حكم-العفو-عن-الكافر-الذي-لا-يرجى-اسلامه
  • Imechapishwa: 27/01/2023