Bora mtu atoe mali yake yote au baadhi tu?

Swali: Je, bora mtu atoe swadaqah theluthi ya mali yake au aitoe yote?

Jibu: Ni lazima ajibakizie kitu kitachomnufaisha na asiitoe yote. Kama alivosema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kumwambia Ka´b:

”Jibakizie baadhi ya mali. Hilo ni kheri kwako.”

Atoe kile kilichowepesika na abakize kile kitachomsaidia katika kumtii Allaah na kuwahudumia familia yake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22283/هل-الافضل-التصدق-بثلث-المال-ام-به-كله
  • Imechapishwa: 27/01/2023