Swali: Ni ipi hukumu ya kutumia mshtuko wa umeme kuua wadudu?
Jibu: Lililo bora ni kuacha kufanya hivyo, kwa sababu kunakhofiwa kuwa hili linaingia katika kuwaadhibu kwa moto. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Hakuna anayeadhibu kwa moto isipokuwa Mola wa moto.”
Kwa hiyo lililo bora ni kuwaua kwa njia isiyokuwa ya umeme.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (26)
- Imechapishwa: 14/10/2026
Swali: Ni ipi hukumu ya kutumia mshtuko wa umeme kuua wadudu?
Jibu: Lililo bora ni kuacha kufanya hivyo, kwa sababu kunakhofiwa kuwa hili linaingia katika kuwaadhibu kwa moto. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Hakuna anayeadhibu kwa moto isipokuwa Mola wa moto.”
Kwa hiyo lililo bora ni kuwaua kwa njia isiyokuwa ya umeme.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (26)
Imechapishwa: 14/10/2026
https://firqatunnajia.com/khiyari-ya-kutekeleza-nadhiri-na-kutoa-kafara/