Nguzo za swalah ni kumi na mbili:
1 – Kusimama kwa mwenye uwezo.
2 – Takbiyr ya kufungulia swalah.
3 – Kusoma al-Faatihah.
4 – Rukuu´.
5 – Kuinuka kutoka katika Rukuu´.
6 – Kusujudu juu ya viungo saba.
7 – Kukaa kati ya sijda mbili.
8 – Utulivu katika nguzo hizi.
9 – Tashahhud ya mwisho.
10 – Kukaa kwa ajili ya Tashahhud ya mwisho.
11 – Tasliym ya kwanza.
12 – Kuzifanya kwa mpangilio kama tulivyotaja.
Hizi ni nguzo ambazo swalah haikamiliki bila ya kuwepo kwake.
- Muhusika: Imaam Muwaffaq-ud-Diyn bin Qudaamah al-Maqdisiy (afk. 620)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: ´Umdat-ul-Fiqh, uk. 26
- Imechapishwa: 12/10/2026
Nguzo za swalah ni kumi na mbili:
1 – Kusimama kwa mwenye uwezo.
2 – Takbiyr ya kufungulia swalah.
3 – Kusoma al-Faatihah.
4 – Rukuu´.
5 – Kuinuka kutoka katika Rukuu´.
6 – Kusujudu juu ya viungo saba.
7 – Kukaa kati ya sijda mbili.
8 – Utulivu katika nguzo hizi.
9 – Tashahhud ya mwisho.
10 – Kukaa kwa ajili ya Tashahhud ya mwisho.
11 – Tasliym ya kwanza.
12 – Kuzifanya kwa mpangilio kama tulivyotaja.
Hizi ni nguzo ambazo swalah haikamiliki bila ya kuwepo kwake.
Muhusika: Imaam Muwaffaq-ud-Diyn bin Qudaamah al-Maqdisiy (afk. 620)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: ´Umdat-ul-Fiqh, uk. 26
Imechapishwa: 12/10/2026
https://firqatunnajia.com/21-nguzo-za-swalah/