Swali: Ambaye ameingia msikitini na akaswali Rak´ah moja ya Witr inamtosheleza kutokamana na swalah ya mamkizi ya msikiti?

Jibu: Hapana, haitoshelezi. Swalah ya mamkizi ya msikiti ni Rak´ah mbili na Witr ni Rak´ah moja. Hivyo haitoshi. Kwa hivyo aswali kwanza swalah ya mamkizi ya msikiti kisha aswali Witr ikiwa anadaiwa Witr.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25132/هل-يجزى-الوتر-بركعة-عن-تحية-المسجد
  • Imechapishwa: 06/02/2025