Hapa ndio utapata uombezi wa Suurah ”al-Mulk”

Swali: Suurah Tabaarak itamfanyia uombezi yule mwenye kuisoma au mwenye kuihifadhi?

Jibu: Kwa kuisoma na kuifanyia kazi kimatendo yaliyomo ndani yake. Kwa maana ya mtu anyooke sawa katika kumtii Allaah na Mtume wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25129/ما-معنى-ما-جاء-ان-سورة-تبارك-تشفع-لصاحبها
  • Imechapishwa: 06/02/2025